ELIMU

wanafunzi kijijini

a Africa zipItasikitisha kuona kuna watoto wanapata elimu kwa style hii ndani ya nchi kama Tanzania,nchi yenye vivutio vingi kwa watu wa mataifa mbalimbali,nchi yenye amani tele,nchi yenye madini kama Tanzanite ambayo upatika Tanzania tu,dhahabu na almasi ndio kwao.Mbuga za wanyama kubwo Tanzania,sasa inakuaje Tanzania ni moja ya nchi masikini?a wanyama kubwa Afrika zipo Tanzania.

Elimu

Wanafunzi wakipata elimu katika mazingira magumu,Wakiwamo nchini Tanzania.

Inaonesha tofauti ya mazingira ya ufundishaji wa mjini na wa kijijini nchini.

Kutokana na hizo picha inaonesha bado kuna ubaguzi wa utoaji wa elimu iliyo bora kati ya mijini na vijijini.Nyenzo za ufundishaji vijijini ni duni kuliko za mijini,serikali imeshindwa kabisa kuboresha miundombinu na mazingira ya kutoa elimu itakayo mjenga mwanafunzi wa kijijini katika elimu ya kujitegemea.Mfano mzuri ni pale ambapo vijijini kuna wanafunzi bado wanasomea chini ya miti na wengine majengo mabovu ambayo hayakidhi elimu iliyo bora.


2 Comments on “ELIMU”

  1. mentor says:

    My dear, picha zinasikitisha sana! hii na hali halisi ya mtanzania ambaye kila siku anajivunia kwa nyimbo utajiri wa nchi yake lakini hata siku moja hajawahi kuonja matunda yake.
    It is high time mambo yabadilike!!!

  2. ubaguzi says:

    Bado kuna mawaziri wa elimu na wabunge wa mikoa,na kila siku wanaingia bungeni lakini hawalipi kipaumbele suala zima la elimu,hasa kwa watu wa hali ya chini na ndicho ambacho nakizungumzia mimi ndio ubaguzi unaotendeka nchini kwetu.


Leave a Reply to ubaguzi Cancel reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s