Rangi nyeupe inavyopewa kipaumbele nchini

Miaka iliyopita ubaguzi wa rangi ulikuwa unakatazwa nchini lakini Tangu miaka ya karne ya sasa ivi imekuwa ikiwapa sana kipaumbele rangi nyeupe,imekuwa serikari ikibinafsisha mali mbalimbali za nchi.mfano ardi,hospitali na baadhi ya makampuni.

Raisi wa Tanzania na Raisi wa Marekani GORGE BUSHI wakiwa Amana hospital

Pia katika baadhi ya center za elimu nchini rangi nyeupe hupewa kipaumbele zaidi kuliko rangi nyeusi.

Baadhi ya watu wenye rangi nyeupe nchini wakipata mafunzo ya nerse katika hospital ya Amana Dar es salaam.


2 Comments on “Rangi nyeupe inavyopewa kipaumbele nchini”

  1. katikomile says:

    Ni mwanzo mzuri sana, lakini kabla hujapost article yako angalia typing error na correct ndo kazi yako itakuwa nzuri.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s