wanawake wanaweza kuleta mabadiliko nchini

kuna baadhi ya wanajamii wanabagua na kutenga wanawake na kusema hawawezi wakati kuna miradi mingi imeanzishwa na wanawake na kuweza kuleta maendeleo nchini au mabadiliko nchini,tukiangalia mkoa wa Ndani kuna kikundi cha wanawake cha miradi mbalimbali ambacho kinasaidia kuleta mabadiliko nchini.

Inaonyesha ni jinsi gani wanawake ni nguvu kazi ya Taifa letu.

Wanawake ni nguvu kazi ya Taifa letu na wanaweza kufanya vitu mbalimbali vya kimaendeleo nchini na sivyo kama baadhi ya wanajamii wanavyowabagua na kusema wanawake ni hasara tu.


2 Comments on “wanawake wanaweza kuleta mabadiliko nchini”

  1. mentor says:

    Sio tu nguvu kazi wangu ila ni wazaaji wa nguvu kazi pia!!!

    • ubaguzi says:

      wewe ni mmoja wa wanajamii ambaye unabagua wanawake na kuamini kuwa wanawake wapo kwa ajili ya kulea familia tu,hapana wanawake wanaweza kuleta mabadiliko nchini na kuliendeleza Taifa.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s