Maisha ya watoto yatima waliokosa muongozo

Watoto yatima ni watoto kama watoto wengine,na wanayo nafasi katika jamii  kujaliwa na kupewa huduma kama watoto wengine,lakini bado kuna watoto yatima ambao wanabaguliwa na hawapati huduma za kutosha kama mtoto.

Asha Bakari ni miongoni mwa watoto yatima ambao anaishi katika maisha magumu apati huduma zinazotakiwa mtoto kuzipata,anesema muda mwingi anatumia kufanya kazi za nyumbani na kulea mtoto wa baba yake mkubwa.

Amesema kila atakapo mueleza baba yake mkubwa suala la kwenda shule anmgombeza na kumwambia kazi yake yeye ni kulea na kufanya kazi za nyumbani ili baadae hadumu kwenye ndoa yake.

Kwa hiyo bado kuna baadhi ya jamii wanaobagua watoto yatima katika familia na kutoa muongozo mbaya wa maisha yake ya baadae.Wanajamii tunatakiwa kubadilika na kuwa na upendo na umoja kwa watoto yatima kwa ujumla.


2 Comments on “Maisha ya watoto yatima waliokosa muongozo”

  1. MATHEW says:

    leo ktk tembezi zangu na mazungumzo ya vijana kuna mtoto anaitwa ester(10) hajabaatika kwenda shule shauli ya kutokuwa

    • Zainab says:

      Hi,asante kwa kutembelea blog yangu ubaguzi,sasa sijakuelewa unavyosema kuwa mtoto ester ajabaatika kwenda shule shauli ya kutokuwa na nini?ujamalizia.unakalibishwa uendelee kutembelea ubaguzi.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s