Rangi nyeupe inavyopewa kipaumbele nchini

Miaka iliyopita ubaguzi wa rangi ulikuwa unakatazwa nchini lakini Tangu miaka ya karne ya sasa ivi imekuwa ikiwapa sana kipaumbele rangi nyeupe,imekuwa serikari ikibinafsisha mali mbalimbali za nchi.mfano ardi,hospitali na baadhi ya makampuni.

Raisi wa Tanzania na Raisi wa Marekani GORGE BUSHI wakiwa Amana hospital

Pia katika baadhi ya center za elimu nchini rangi nyeupe hupewa kipaumbele zaidi kuliko rangi nyeusi.

Baadhi ya watu wenye rangi nyeupe nchini wakipata mafunzo ya nerse katika hospital ya Amana Dar es salaam.