Msaada kwa wazee wasio jiweza
Posted: February 23, 2012 Filed under: Wazee katika jamii | Tags: msaada, tanzania, wazee Leave a commentHapa mjini pia kuna wazee wasiojiweza wanahitaji msaada lakini wanajamii wengi pamoja na serikali hawaangalii suala hili,wengi wamezoea/wanaangalia sana watoto,ni haki sawa kuwaangalia lakini inatakiwa kugusa sehemu zote na sio kubagua.
Advertisements
Recent Comments